Thursday, 8 April 2010

DIT NA NITASOMA MOBILE 3

Mshindi wa NITASOMA Mobile 3 niVALENTINO J. MHOJA wa DIT  alichaguliwa tarehe 06/03/2010.

Wanafunzi na  wanavyuo wanashauriwa kuendelea kushiriki katika Promosheni hii kwa kutuma neno NITASOMA UNI, au NITASOMA HIGH au NITASOMA SEC kwenda 15767. Na kwa taarifa au maelezo zaidi tembelea www.nitasoma.co au htt//nitasoma.blogspot.com

ELIMU KWANZA:

No comments:

Post a Comment